Posts

mambo muhimu ya kuzingatia unapoanza kujifunza kiingereza

1.Elewa lugha ya kiingeleza ni muhimu sana katika nyanja zote kwa sababu ni lugha inayozungumzwa na watu wengi duniani kuliko lugha nyingine yoyote.   a.kujua kiingeleza ni muhimu kwenye biashara kwa sababu kitakuwezesha kununua biadhaa kwe mitandao ya kijamii inayotumi Lugha ya kiingeleza,kuwasiliana na wafanya biashara wa nje n.k b.Kujua kiingereza utapata uwezo wa kusoma nyaraka mbalimbali na maelezo ya bidhaa mbalimbali zilizoandikwa kwa kiingereza.      c. Utaweza kuskiliza taarifa mbalimbali za kiingereza,nyimbo za kiingereza,movie za kiingereza n.k d. Utapata fursa ya kupata elimu kwenye maeneo mbalimbali kama YouTube,online,kwenye makongamano na sehemu nyingine nyingi... e. kiafya ni muhimu kwa sababu utakuwa na uwezo wa kujieleza pale utakapo kutana na muhudumu asiyejua kiswahili. KWA UJUMLA:utapata uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza. 2.unapoanza kujifunza kiingereza hutakiwi kuona aibu kuzungumza na kuomba rafiki zako kukusahihisha pale unapokosea. ...