mambo muhimu ya kuzingatia unapoanza kujifunza kiingereza
1.Elewa lugha ya kiingeleza ni muhimu sana katika nyanja zote kwa sababu ni lugha inayozungumzwa na watu wengi duniani kuliko lugha nyingine yoyote.
a.kujua kiingeleza ni muhimu kwenye biashara kwa sababu kitakuwezesha kununua biadhaa kwe mitandao ya kijamii inayotumi Lugha ya kiingeleza,kuwasiliana na wafanya biashara wa nje n.k
b.Kujua kiingereza utapata uwezo wa kusoma nyaraka mbalimbali na maelezo ya bidhaa mbalimbali zilizoandikwa kwa kiingereza.
c. Utaweza kuskiliza taarifa mbalimbali za kiingereza,nyimbo za kiingereza,movie za kiingereza n.k
d. Utapata fursa ya kupata elimu kwenye maeneo mbalimbali kama YouTube,online,kwenye makongamano na sehemu nyingine nyingi...
e. kiafya ni muhimu kwa sababu utakuwa na uwezo wa kujieleza pale utakapo kutana na muhudumu asiyejua kiswahili.
KWA UJUMLA:utapata uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza.
2.unapoanza kujifunza kiingereza hutakiwi kuona aibu kuzungumza na kuomba rafiki zako kukusahihisha pale unapokosea.
3.Ni vema kuwajulisha watu wanaokuzunguka kuwa uko kwenye mafunzo ili waweze kukupa uahirikiano pale inapohitajika.
4.Kwa kila somo, hakikisha unasikiliza kwa makini na kufanya mazoezi yote kama ilivyoelekezwa.Pia usiende somo la mbele kabla ya kujiridhisha somo ulilojifunza hivyo hakikisha umeelewa vema kwa kufanya marudio ya kutosha kwenye somo hilo.
5.kiingereza ni LUGHA RAHISI SANA KUJIFUNZA HATA KAMA MWANZONI UTAONA KUNA UGUMU,endelea kujifunza utaelewa.
6.Ukianza kijifunza usiku ali kiluachia njiani maana kuacha ni ishara ya kukata tamaa.
7.Ukishaanza kujifunza na ukaelewa baadhi ya maneno,Anza kuwaandikia rafiki zako jumbe mbalimbali ili kupata uzoefu.
8. Wakati unajifunza kama utaweza kupata rafiki yako/zako na mkajifunza kwa pamoja itakuwa vizuri pia ili muweze kufanya mazoezi kwa pamoja.
©kufikia hapa sasa tunaweza kuanza kujifunza lugha ya kiingereza©
Note. hakikisha unazingatia hii makala maana ndiyo msingi wa kujua kiingereza.
Yes it is very fantastic
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
Delete